
Mpina, Othman waeleza watakavyoing’oa CCM
Pemba. Watiania wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar wamemaliza kujitambulisha kwa wananchi wa Zanzibar huku wakisema wako ‘fiti’ kuanza mchakato wa kampeni za siku 60 za kuhakikisha wanaibuka kidedea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kampeni za uchaguzi mkuu…