
TANZANIA YAANZA VYEMA CHAN 2025
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) imeanza vizuri michuano ya CHAN 2025 baada ya kufanikiwa kuichapa Burkina Faso mabao 2-0 katika mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo. Katika mchezo huo ambao ulitanguliwa na shamrashamra za sherehe za ufunguzi, Taifa Stars akiwa nyumbani uwanja wa Benjamini Mkapa…