
Serikali yatangaza nafasi za ajira
Dar es salaam. Serikali kupitia ofisi ya Rais sekretatieti ya ajira katika utumishi wa umma imetangaza nafasi 73 za ajira kwa raia wa tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa waliopo kazini serikalini. mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni Agosti 21, 2025. Kwa mujibu wa tangazo la ofisi hiyo, la Agosti 8, 2025…