
Azam yamtambulisha rasmi Japhte Kitambala
AZAM FC imeendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano ikiwamo Ligi Kuu Bara, baada ya kumtambulisha rasmi mshambuliaji kutoka DR Congo, Jephte Kitambala. Katika picha iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, Kitambala, ameonekana akisaini mkataba mpya mbele ya viongozi wa klabu hiyo. Mkataba huo mpya unamfanya kuwa mchezaji wa Wanalambalamba hadi mwaka 2026, jambo…