Kiongozi wa upinzani Chad, atupwa jela miaka 20

Dar es Salaam. Aliyekuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa upinzani nchini Chad, Succès Masra amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na hatia ya kueneza ujumbe wa ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya wageni, njama ya uhalifu inayohusishwa na mzozo wa kijamii pamoja na kushiriki katika mauaji. Masra ambaye ni rais wa…

Read More

Maisha ya bungeni ya Ndugai yalivyofuata nyayo za Makinda

Dar es Salaam. Tofauti ya maisha ya bungeni ya aliyekuwa Spika, hayati Job Ndugai na spika mstaafu, Anna Makinda ni ya kipekee, lakini wamehudumu katika vyeo vinavyofanana. Kwa mujibu wa Makinda, maisha yake na Ndugai yalikuwa mithili ya mtu na mdogo wake, kila wadhifa alioupata akiwa bungeni, mwanasiasa huyo alikuwa msaidizi wake na baadaye kurithi…

Read More

Lindi wapata vifaatiba vya macho

Lindi. Shirika la kimataifa la Sightsavers limetoa vifaa tiba vya kutolea huduma ya macho kwa Hospitali ya Rufaa ya Sokoine mkoani Lindi lengo likiwa ni kukabiliana na uhaba wa vifaatiba vya macho. Vifaa hivyo vyenye thamani ya Sh56 milioni ni mashine ya B-scan ya macho, hadubini ya upasuaji, seti ya vifaa vya upasuaji, seti ya…

Read More

Sababu kifo cha Job Ndugai

Dar es Salaam. Katibu wa Bunge la Tanzania, Baraka Leonard amesema Spika mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amefariki dunia kutokana na shinikizo la damu kushuka, iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa. Ndugai alifariki dunia saa 9 alasiri ya Agosti 6, 2025 jijini Dodoma baada ya kuugua kwa muda mfupi. Aliyewahi kuwa Spika wa…

Read More

Mzize aendeleza rekodi michuano ya CAF

MABAO mawili aliyofunga dakika ya 13 na 20 yaliyoiwezesha Taifa Stars kutinga robo fainali ya michuano ya CHAN 2024, Clement Mzize kuendeleza rekodi tangu katika michuano inayoendeshwa na CAF. Mzize aliiwezesha Stars kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Madagascar ikiwa ni wa tatu mfululizo wa Kundi B na kutinga robo fainali kwa mara ya…

Read More

Ndugai alikuwa zawadi kwa wazazi, Taifa

Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kondoa, Given Gaula amemtaja Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai kuwa zawadi kwa wazazi wake, mkewe, wanawe na Taifa la Tanzania. Enzi za uhai wake, amesema Mungu amemtumia Ndugai kwa namna ya ajabu na ameacha alama hata kwa wanaomkosoa wataangalia zaidi upande wa haki ili…

Read More