
MGOMBEA URAIS CHAMA CHA MAKINI AAHIDI EKARI TANO KWA KILA KIJANA KAMA ATASHINDA
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma MGOABEA urais kupitia Chama Cha Makini, Coaster Kibonde, amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), huku akiahidi iwapo watanzania watamchagua kila kijana wa Kitanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 21 atapewa ekari tano za ardhi kwa ajili ya shughuli za kilimo….