Mkongomani atajwa kumrithi Sowah Singida Black Stars

SINGIDA Black Stars (SBS) imeanza hesabu zake kwa mastaa wa kigeni na sasa inapambana kuziba nafasi ya Jonathan Sowah kwa kufuata mshambuliaji mmoja nchini DR Congo. Sowah ametimkia Simba katika dirisha hili la usajili linaloendelea. Mshambuliaji ambaye Singida inamtaka ni Horso Muaku ambaye anaichezea FC Lupopo ya DR Congo. Muaku ndiye mshambuliaji aliyepitishwa na kocha…

Read More

Kakolanya, Ambokile wavunja ukimya City

BAADA ya kipa Beno Kakolanya na mshambuliaji Eliud Ambokile kila mmoja kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Mbeya City katika msimu mpya wa mashindano ikiwa imerejea Ligi Kuu Bara, wachezaji hao wametoa neno wakisema wanaamini mbele yao wana kazi ngumu ya kuisaidia kufanya vizuri 2025-2026. Msimu uliopita Kakolanya alisajiliwa na Singida Black Stars akitokea Simba,…

Read More

Sowah, Kante wamgusa Fadlu | Mwanaspoti

WAKATI Simba ikiendelea na maandalizi yake ya msimu ujao huko Ismailia, Misri, maisha ya mastaa wapya yameanza kuibua vaibu kambini, huku kila mmoja akijifua kwa ajili ya kuanza mapema kabisa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo. Simba inayojifua kwa ajili ya mashindano ya msimu ujao Bara na Afrika, imejifungia katika eneo tulivu ikifanya mambo…

Read More

Yanga yampandia ndege beki Msauzi

JANA, mabosi wawili wa ngazi za juu katika timu za Simba na Yanga waliziwakilisha katika droo ya mashindano ya Afrika, ambayo timu zao zinashiriki Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Katika uchezeshwaji wa droo hiyo, rais wa Yanga, Hersi Said akiwa na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ walihudhuria na kila…

Read More

‘Silaha za nyuklia hazina nafasi katika ulimwengu wetu,’ Mkuu wa UN anaambia meya huko Nagasaki – Maswala ya Ulimwenguni

Imehamasishwa na Hibakushawaathirika wa mabomu ya atomiki mwishoni mwa Vita vya Kidunia vya pili ambao walibadilisha mateso yao kuwa rufaa ya nguvu ya amani, António Guterres aliboresha wito wake kwa ulimwengu usio na silaha za nyuklia katika ujumbe wa video kwa Mkutano Mkuu wa 11 wa Meya wa Amani huko Nagasaki. United Dhidi ya Silaha…

Read More

Mkutano wa UN huko Turkmenistan hufunika na barabara mpya ya ujasiri – maswala ya ulimwengu

Uliofanyika chini ya mada Kuendesha maendeleo kupitia ushirikaMkutano wa siku nne unaojulikana kama Lldc3walileta pamoja wakuu wa nchi, maafisa waandamizi wa UN, washirika wa maendeleo, na viongozi wa sekta binafsi kukabiliana na changamoto zinazoendelea zinazowakabili LLDC, pamoja na gharama kubwa za biashara, miundombinu ya kutosha, na hatari ya mabadiliko ya hali ya hewa. Iliyowekwa na…

Read More