
Auawa kikatili, mwili watelekezwa kando ya barabara bila nguo
Mwanza. Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linafanya uchunguzi wa mauaji ya kijana ambaye hajafahamika jina, baada ya kukutwa ameuawa pembeni ya barabara katika Mtaa wa Malimbe, Kata ya Luchelele, Wilaya ya Nyamagana. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo lilitokea Agosti 9, 2025 ambapo mwili wa…