
Mwalimu mkuu auawa kwa kuchomwa shingoni na kitu cha ncha kali
Shinyanga. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Busalala, Kata ya Mwendakulima, Kahama mkoani Shinyanga Fatuma Khamis ameuawa kwa kuchomwa shingo na kitu cha ncha kali na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Agosti 9, 2025. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia leo. Amesema watu hao…