Ibenge kutesti mitambo Arachuga | Mwanaspoti

BAADA kucheza mechi ya ndani na kombaini ya Arusha, kikosi cha Azam FC chini ya kocha Florent Ibenge kinaendelea na maanzalizi kikijifua kwa mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Agosti 13 kabla ya kutimkia Rwanda. Azam FC ipo Arusha ambako imeweka kambi kwa siku 14 na mipango yake ni baada ya siku…

Read More

TBL Plc YAAHIDI KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO, YAWEZESHA WALIMA KUPITIA MAFUNZO,UBIA WA KIMKAKATI NA MASOKO

 TANZANIA Breweries Plc (TBL Plc), mwanachama wa familia ya AB InBev, imedhihirisha upya dhamira yake ya muda mrefu ya kuendeleza sekta ya kilimo nchini Tanzania, kupitia ushiriki wake katika Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane 2025 yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma.  Kupitia kaulimbiu ya “Shangwe kwa wakulima ”TBL Plc inadhirisha kuwa si kinara wa utengenezaji wa…

Read More

Kilio chasikika, tathmini mpya kufanyika daraja la juu Amani

Unguja. Baada ya kutoa malalamiko kuhusu fidia ndogo, wananchi wanaotakiwa kupisha mradi wa ujenzi wa barabara za mjini, likiwamo daraja la juu la Amani, Serikali imeagiza kufanyika mapitio ya tathmini iliyofanywa, ili kubaini uhalisia na kila mtu apate haki anayostahili. Hatua hiyo imefikiwa leo Agosti 9, 2025 baada ya mawaziri watatu wanaohusika katika mchakato huo…

Read More

Simba, Yanga zatamba kufanya kweli CAF

BAADA ya droo ya michuano ya Shirikisho la Soka Afrika CAF kuchezeshwa hapa nchini, viongozi wa Simba na Yanga ambazo zinashiriki Ligi ya Mabingwa wamesema ziko tayari kufanya vizuri kwenye mashindano hayo. Rais wa Yanga, Hersi Said amesema maandalizi yanaendelea vizuri na kikosi hicho kipo tayari kupambana na kufanya vizuri. “Tutajiandaa vizuri na tunaamini tutafanya…

Read More

TMA YANYAKUA KOMBE MAONESHO YA NANE NANE 2025.

 MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imenyakua kombe kupitia maonesho ya Nane Nane 2025 yaliyofanyika katika Mkoa wa Morogoro. Ushindani wa TMA kupitia kundi la ushindani lililohusisha taasis za Serikali upande wa Mawakala na Mamlaka za Serikali nchini, umeifanya TMA kuibuka kidedea kwa kushika nafasi ya pili kwenye ambapo Mamlaka ya Hifadhi za Taifa…

Read More

Simba, Yanga, Azam na Singida kuanzia ugenini

DROO ya michuano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu ujao tayari zimemalizika, ikishuhudiwa miamba ya soka nchini Yanga, Simba, Azam FC na Singida Black Stars zikipangwa kuanzia ugenini. Mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita na watani zao Simba iliyomaliza nafasi ya pili…

Read More

Ahueni usafirishaji mizigo Zanzibar | Mwananchi

Unguja. Malalamiko ya wafanyabiashara kuhusu mizigo yao kuchelewa kutokana na kukosa usafiri madhubuti, huenda yakapata jawabu baada ya ndege ya mizigo kuanza kuisafirisha kutoka Dubai kwenda moja kwa moja Zanzibar. Ndege ya Solit Air aina ya Boeing 728 yenye uwezo wa kubeba tani 20 za mizigo, imewasilia kwa mara ya kwanza leo Agosti 9, 2025…

Read More