TMA YANYAKUA KOMBE MAONESHO YA NANE NANE 2025

 ::::::::: Morogoro, tarehe 08/08/2025 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imenyakua kombe kupitia maonesho ya Nane Nane 2025 yaliyofanyika katika Mkoa wa Morogoro. Ushindani wa TMA kupitia kundi la ushindani lililohusisha taasis za Serikali upande wa Mawakala na Mamlaka za Serikali nchini, umeifanya TMA kuibuka kidedea kwa kushika nafasi ya pili kwenye ambapo Mamlaka…

Read More

RAIS SAMIA AIPA KONGOLE TADB KWA UTENDAJI

 ::::: Na Mwandishi wetu,Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameipongeza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa utendaji mzuri ulioleta tija kwa wakulima. Ameyasema hayo leo Agosti 8, 2025 wakati akihutubia wananchi katika kilele cha maadhimisho ya Nane Nane Kitaifa katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Rais Samia amesema utendaji mzuri wa…

Read More

Kocha Uganda achekelea ushindi wa kwanza

FURAHA na shangwe zilitawala kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Namboole, Kampala baada ya Uganda Cranes kupata ushindi wao wa kwanza kwenye michuano ya CHAN 2024, wakiiadhibu Guinea mabao 3-0 katika mechi iliyochezwa Ijumaa usiku. Bao la kwanza la Uganda lilifungwa dakika ya 31 na Regan Mpande, aliyetumia vyema krosi na kuupiga kichwa kilichomshinda kipa wa…

Read More

Waombolezaji 25 wafariki dunia ajalini

Dar es Salaam. Watu 25 wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la shule lililowabeba waombolezaji katika eneo la Mamboleo Coptic, Kaunti ya Kisumu, nchini Kenya. Kwa mujibu wa mitandao ya kijamii nchini Kenya, ajali hiyo imetokea Agosti 8, 2025 ikielezwa uchunguzi wa awali umebaini dereva alipoteza udhibiti wa basi hilo kwenye sehemu ya…

Read More

TADB YAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUIWEZESHA KUKUZA MTAJI

:::::: Na mwandishi wetu,Dodoma Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwekeza katika uwezeshaji wakulima kwa kuwapatia mikopo ya Pembejeo. Akitoa maelezo kwa Mhe. Rais Samia kuhusu utendaji wa Benki hiyo leo Agosti 8,2025 wakati wa maadhimisho ya kilele cha Nane Nane…

Read More