
Tanesco kuwasaka wachezea mita wanaoiba umeme
Dar es Salaam. Katika hatua ya kudhibiti mapato, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kuanza ukaguzi wa mita kubaini upotevu na wizi wa umeme unaofanywa na baadhi ya wateja. Ukaguzi huo utakaofanyika nchi nzima utafanyika ikiwa ni siku chache tangu shirika hilo lije na mfumo wa kupokea taarifa za siri ili kuwabaini wahusika wa uhalifu…