
Benki ya NBC Yaishukuru Serikali Kuzisogeza Taasisi za Fedha Karibu na Wakulima.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imepongeza hatua ya serikali ya kuboresha mfumo wa mauzo ya mazao ya wakulima hususani kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani ambao kwa kiasi kikubwa umeziwezesha taasisi mbalimbali za kifedha nchini ikiwemo benki hiyo kuweza kuwafikia wakulima kwa urahisi. Hatua hiyo pamoja na mipango mingine, inatajwa kuwa imezirahisishia zaidi taasisi hizo…