
Familia yaomba kinara kura za udiwani aliyetoweka Sirari arejeshwe
Tarime. Wakati familia ya mgombea udiwani Kata ya Sirari mkoani Mara, Sinda Mseti anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha ikiliomba Jeshi la Polisi kumrejesha ndugu yao, jeshi hilo limesema limeanza uchunguzi wa kina kuwabaini wahusika ili hatua zichukuliwe dhidi yao. Sinda aliyeongoza kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na rafiki yake anayetajwa…