Rais Samia afuraishwa na utendaji kazi ya TADB

Na mwandishi wetu,Dodoma Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwekeza katika uwezeshaji wakulima kwa kuwapatia mikopo ya Pembejeo. Akitoa maelezo kwa Mhe. Rais Samia kuhusu utendaji wa Benki hiyo leo Agosti 8,2025 wakati wa maadhimisho ya kilele cha Nane Nane kitaifa,…

Read More

Simba, Yanga zaendelea kupanda CAF

Dar es Salaam. Simba imeendelea kuonyesha ukubwa wake Afrika baada ya kupaa katika viwango vya ubora wa klabu vya CAF hadi nafasi ya tano huku mtani wake Yanga naye akipanda. Kwa Simba kuwa nafasi ya tano inamaanisha imepanda kwa nafasi mbili kutoka ya saba ambayo ilikuwepo kabla ya kuanza msimu uliopita. Kwa mujibu wa chati…

Read More

RC SAWALA: TPDC HONGERENI, MNAFANYA KAZI NZURI SANA

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick Kenani Sawala amelipongeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania kwa utekelezaji Madhubuti wa miradi ya Kimkakati ya mafuta na gesi asilia katika maeneo mbalimbali ya nchi ikiwemo mikoa ya Lindi na Mtwara. Pongezi hizo amezitoa mara baada ya kutembelea banda la TPDC katika maonesho ya Nanenane kanda…

Read More

Kocha Morocco asifu nidhamu ya kimbinu

KATIKA mechi iliyojaa tahadhari na vita ya kimbinu, Taifa Stars  imeendelea kung’ara kwenye Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Mauritania, Jumatano usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Bao lililofungwa dakika ya 89 na beki wa…

Read More

Dodoma Jiji wamesajili vizuri watabaki

HIZI timu za daraja la kati kiuchumi mara nyingi lengo lao kuu huwa ni kubakia Ligi Kuu na huwa hazitaki sana makuu kama zile zenye msuli wa kifedha. Kuchukua ubingwa au kumaliza msimu timu ikiwa katika nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi kunaendana na gharama kubwa ambayo hizo timu za uchumi wa kati haziwezi…

Read More

Samatta anatuheshimisha, ila sisi hatumheshimu

JUZI Jumatano ilikuwa siku ya furaha sana hapa kijiweni kwetu baada ya kusikia na kuona taarifa za nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kujiunga na Le Havre inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa. Sababu kubwa ya furaha yetu ni Samagol a.k.a Popat alishaonekana kama maji ya jioni na haikutegemewa kama angeweza kurudi katika ligi kubwa Ulaya…

Read More

Yanga waitana Dar  kujadili mambo yao

WANACHAMA na viongozi wa Yanga wameitana jijii Dar es Salaam mwezi ujao kwa lengo la kujadili mambo yao kabla hata msimu mpya wa mashindano wa 2025-2026 haujaanza. Wanayanga wanatarajiwa kukutana katika Mkutano Mkuu ulioitishwa na uongozi wa klabu hiyo utakaofanyika Septemba 7, 2025 kwenye Ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)…

Read More

Airtel Money Africa partners with pawaPay for seamless international remittances across Africa

Dubai, 07 August 2025: Airtel Money Africa, Airtel Africa’s mobile money arm, today announced an extended partnership with Africa’s largest mobile money payment service provider (PSP) pawaPay to enable seamless cross-border payments for licensed International Money Transfer Operators (IMTOs) across seven key Airtel Africa markets. This collaboration officially launches pawaPay’s service for inbound remittances into…

Read More

Shauri la marejeo Chadema kuamuliwa Agosti 18

‎‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, Agosti 18, 2025 imepanga kutoa uamuzi kuhusu shauri la maombi ya marejeo la Chadema ya kupinga amri za mahakama hiyo, kuizuia kwa muda kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali zake. Uamuzi huo utatolewa baada ya Alhamisi  Agosti 7, chama hicho kuwasilisha hoja zake mahakamani…

Read More