
VETA YAPONGEZWA KWA KUENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA KUNDI LA WANAWAKE NA SAMIA
MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imepongezwa kwa kuendelea kutoa mafunzo ya ufundi stadi kupitia Mpango wa mafunzo unaotekelezwa na Taasisi ya Wanawake na Samia. Pongezi hizo zimetolewa leo tarehe 7 Julai, 2025 na Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe.Rosemary Senyamule ambae ndie muasisi wa Taasisi hiyo, alipotembelea banda hilo la VETA…