NRA yaja na ilani inayozingatia huduma za jamii, Katiba mpya
Dar es Salaam. Mustakabali wa kisiasa wa Tanzania unapata matumaini mapya kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) ambacho kimezindua ilani yake kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa kuweka mbele masilahi ya taifa badala ya vyama vya siasa. Kikiwa na kaulimbiu yake ya “Taifa Kwanza, Vyama Baadaye”, chama hicho kieleza maono yake…