
Taifa Stars bab’kubwa! | Mwanaspoti
LICHA ya kwamba haikuonyesha kiwango cha kutisha kulinganisha na ilivyocheza mechi ya ufunguzi wa fainali za CHAN 2024, lakini rekodi zimeandikwa na Taifa Stars imewapa kile ambacho Watanzania walio wengi wana hamu ya kukiona. Stars ilipata ushindi wa pili mfululizo wa michuano ya CHAN 2024 ikiwa ni rekodi kwani haijawahi kutokea kwa timu hiyo kufanya…