
BASHUNGWA ATUNUKU VYETI WAFUNGWA 170 WALIOHITIMU MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA STADI ZA BIASHARA.
::::: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti Wafungwa 170 waliomaliza mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika Gereza kuu Arusha. Hafla ya kutunuku vyeti hivyo ilifanyika tarehe 6 Agosti 2025 katika Gereza Kuu Arusha, ambapo kati…