Kocha Azam FC aishtukia Yanga
KOCHA wa zamani wa Azam FC, Bruno Ferry ameula huko Angola baada ya kupewa mkataba wa miaka miwili kuinoa Wiliete Benguela itakayovaana na Yanga katika mechi za raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku akisema anajua kibarua alichonacho mbele ya wababe hao wa Bara. Bruno, ambaye pia ni kocha wa makipa aliwahi kuinoa…