
TPDC YASISITIZA UMUHIMU WA KULINDA MIUNDOMBINU YA BOMBA LA GESI
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekutana na kuwapa elimu wafanyabiashara wadogowadogo wanaofanya shughuli zao ndani ya mkuza wa bomba la gesi asilia katika eneo la Kinyerezi Mwisho, Mtaa wa Kanga na Kibaga ili kuweza kuondoka eneo hilo ambalo sio rasmi na salama kwa shughuli zozote za kibinadamu ikiwemo…