WANANCHI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA WMA NANENANE

Wananchi mbalimbali wameendelea kutembelea Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya NaneNane kitaifa mkoani Dodoma na kupatiwa elimu ya vipimo. Pamoja na kupatiwa elimu ya vipimo, wananchi hao wanapata fursa ya kuuliza maswali ana kwa ana na kujibiwa na wataalamu pamoja na kuelekezwa kwa vitendo namna WMA inavyohakiki vipimo mbalimbali ili kumlinda mlaji….

Read More

Mwalimu, Minja kuwavaa Samia, Mpina urais Oktoba

Dar es Salaam. Mbio za kwenda Ikulu ya Tanzania ndani ya vyama vya siasa zimezidi kushika kasi baada ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nacho kuwapata viongozi wawili watakapeperusha bendera yake. Salum Mwalimu, katibu mkuu wa chama hicho, ndiye amepewa jukumu la kupeperusha bendera  hiyo huku Devotha Minja akipendekezwa kuwa mgombea mwenza wake. Kwa…

Read More

Mkurugenzi wa Wizara Apongeza TFS kwa Kuendeleza Shughuli za Uhifadhi na Kutoa Elimu kwa Umma NaneNane 2025

Dodoma. Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Ndg. Bernard Marcelline, amepongeza juhudi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa namna unavyoshiriki kikamilifu katika Maonesho ya NaneNane 2025, hususan katika kutoa elimu kwa wananchi na kuonesha shughuli mbalimbali za uhifadhi wa misitu na nyuki zinazotekelezwa katika…

Read More

TUHAKIKISHE VIJANA WANAPATA MAFUNZO YA UFUNDI STADI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwawezesha kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri na kuchangia maendeleo ya Taifa. Akizungumza mara baada ya kukagua karakana za kujifunzia zilizopo katika…

Read More

Sangweni: sekta ya gesi asilia, kilimo zinategemeana.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mkundo wa Juu wa Petroli (PURA), Mha. Charles Sangweni amesema kuwa sekta ya gesi asilia na sekta ya kilimo ni sekta zinazotegemeana kwa karibu na kwamba sekta hizi zikifungamanishwa vizuri zitaongeza tija katika uchumi. Sangweni ameyasema hayo Agosti 07, 2025 alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nane Nane…

Read More

Makandarasi wanawake mtegoni wakipewa mradi wa lami Songwe

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiwapatia fursa ya ujenzi wa barabara ya lami ya Kilometa 20 makandarasi wanawake mkoani Songwe mradi huo unaweza kusema umekuwa kama jicho la kutazama utendaji wao katika kupata fursa nyingi zaidi.  Hatua hiyo inafuatia baada ya mipango ya Serikali ya muda mrefu ya kuwainua makandarasi wanawake katika utekelezaji wa miradi…

Read More

CMSA, Hazina zaipongeza Vertex ujio bidhaa mpya sokoni

NA MWANDISHI WETU MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na dhamana Tanzania (CMSA) imeipongeza Kampuni ya Vertex International Securities kwa ubunifu wa kuleta bidhaa mbili mpya sokoni zenye tija kwa Watanzania. Vertex imezindua leo bidhaa hizo jijini Dar es Salaam kwenye soko la mitaji ambazo ni Vertex bond fund na Vertes International Securities exchange Traded fubd…

Read More

Wanne kortini wakidaiwa kusafirisha kilo 51 za heroin

Dar es Salaam. Ernest Semayoga (48) maarufu Mukri na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin zenye uzito wa kilo 51.47, kinyume cha sheria. Mbali na Mukri ambaye na mkazi wa Kawe, washtakiwa wengine ni mfanyabiashara Salum Jongo (45) mkazi wa…

Read More

Uagizaji wa gesi ya kupikia kwa pamoja mbioni

Dar es Salaam. Serikali iko mbioni kuja na mpango wa uagizaji wa gesi ya kupikia kwa pamoja kupitia Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) baada ya miundombinu wezeshi kukamilika kujengwa. Mfumo huo unatajwa kusaidia kupunguza bei ya gesi ya kupikia jambo litakalowawezesha wananchi kumudu gharama yake na kuachana na matumizi ya nishati safi. Hayo…

Read More