Airtel Africa Foundation Launches Tech For Her Program to Upskill African Women

The program aligns with the Foundation’s mission to empower Africa through Digital Inclusion. Participants will complete over 100 hours of intensive training through a flexible learning model that includes weekend classes for working professionals and weekday sessions for non-working participants. To be eligible for the training, candidates are required to have basic digital literacy, minimum…

Read More

Vijana wafundwa kutobeza fursa za mafunzo

Unguja. Katibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Zena Ahmed Said amewataka vijana wanaopata nafasi za mafunzo yanayotolewa na Serikali kuzitumia vizuri ili kuongeza ubunifu. Amesema hayo leo Alhamisi Agosti 7, 2025 alipofungua mafunzo ya upambaji wa uso katika mradi wa kuwajengea uwezo vijana kujiajiri na kuajirika unaosimamiwa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi…

Read More

Ukosefu wa elimu chanzo changamoto za afya ya uzazi

Unguja. Mojawapo ya sababu inayochangia vijana kuwa na changamoto kuhusu afya ya uzazi na hedhi salama ni ukosefu wa elimu, imeelezwa. Kutokana na hilo, jamii imesisitizwa kutoa elimu ya masuala hayo kwa vijana ili kupunguza vifo vya mama na mtoto. Kwa kufanya hivyo imeelezwa afya bora itaendelezwa ili kusaidia kuleta uelewa mpana kwao na kupanga…

Read More

MKUTANO MKUU CHAUMMA: Wito amani Uchaguzi Mkuu watawala

Dar es Salaam. Wito wa kulinda amani wakati wa uchaguzi umetawala salamu za viongozi mbalimbali wa kisiasa na wadau wa demokrasia waliohudhuria mkutano mkuu wa Taifa wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) unaoendelea leo, Alhamisi Agosti 7, kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Wadau wametoa kauli hizo katika mkutano mkuu ambao…

Read More

Mpeni mstaafu Sh5 milioni akiwa hai!

Nalirudia tena hili maana linauma na kusikitisha sana. Hivi karibuni wabunge walio wawakilishi wa wananchi, akiwamo mstaafu, wamemaliza kipindi chao cha kupokea mshahara wa Sh14 milioni kwa mwezi kwa miaka mitano, kwenye nchi hii inayodai kuwa ni masikini, japo wa kujitakia! Kwa kazi ngumu yao ya kuunga mkono hoja na kupiga makofi kushangilia hoja, badala…

Read More