
MHANDISI MRAMBA AFUNGUA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA YA NISHATI JUA KWA WATAALAM
………….. 📌 Yanahusu usanifu, utengenezaji, ufungaji mifumo ya Nishati Jua na matumizi yake 📌 Asema mafunzo yanalenga kuendeleza matumizi ya nishati jadidifu kama ilivyoelekezwa katika Dira 2050 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amefungua mafunzo ya wataalam kutoka taasisi mbalimbali nchini yanayohusu usanifu, utengenezaji na ufungaji wa mifumo ya Nishati ya Jua…