
EWURA YATOA ELIMU KWA UMMA KATIKA MAONESHO YA NANENANE
MENEJA wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kati Hawa Lweno,akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la EWURA katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika kiwanja cha Nzuguni jijini Dodoma. Na Alex Sonna-DODOMA MENEJA wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kati Hawa Lweno,…