Cheza Spin 100, Pata 50 Bure, Zombie Apocalypse Yaanza Sasa

MERIDIANBET kwa kushirikiana na Expanse Studios wamezindua Zombie Apocalypse, promosheni mpya ya kuvutia inayowahamasisha wachezaji kuingia katika ulimwengu wa vita vya kutisha dhidi ya zombie, huku wakifurahia burudani ya hali ya juu na fursa kabambe za ushindi. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Agosti 2025, wachezaji wamekuwa wakialikwa kushiriki kwenye mchezo huu wa kipekee ambapo kila…

Read More

Chadema katika kibarua kingine mahakamani leo

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, leo Alhamisi, Agosti 7, 2025 inatarajiwa kusikiliza shauri la maombi ya marejeo lililofunguliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) la kupinga amri za kukizuia kufanya shughuli za siasa na kutumia mali zake. Amri hizo za zuio dhidi ya chama hicho zilitolewa na Jaji Hamidu…

Read More

Mitanange ya Leo Kukutajirisha Siku ya Leo

JUMATANO ya leo ni nzuri sana kwa wewe mteja wa Meridianbet kwani mechi kibao za kukupatia mkwanja wa maana zipo hapa. Suka jamvi lako la ushindi na wakali hawa wa ubashiri Tanzania. Kairaty Almaty atakuwa kibaruani kukiwasha dhidi ya Slovan Bratslava kwenye mkondo wa kwanza wa kuwania nafasi ya kucheza ligi ya mabingwa Ulaya. Nafasi…

Read More

MKURUGENZI MKUU WA TAA ATEMBELEA MAONESHO YA NANENANE DODOMA

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Abdul Mombokaleo ametembelea Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Awali katika ziara yake, Bw. Mombokaleo ametembelea Banda la Wizara ya Uchukuzi pamoja na mabanda ya taasisi zake zinazounda wizara hiyo. Aidha, Bw. Mombokaleo ametembelea Banda la Jeshi la Zimamoto…

Read More

WAKULIMA NA WAVUVI ZANZIBAR WATAKIWA KUTUMIA TAARIFA ZA HALI YA HEWA ILI KULETA TIJA NA KUONGEZA KIPATO

 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa wito kwa wakulima na wavuvi kutumia taarifa za hali ya hewa ili kuleta tija na kuongeza kipato. Wito huo umetolewa kwenye Maonesho Nanenane 2025 yanayofanyika katika Viwanja vya Dole Kizimbani, Zanzibar. Mkurugenzi wa TMA Ofisi ya Zanzibar, Ndg. Masoud Makame Faki, akizungumza na waandishi wa habari, kwenye…

Read More

Mabasi ya mwendokasi Mbagala yawasili Dar

Idadi hiyo ya mabasi ni sehemu ya yale 250 yatakayotoa huduma katika njia hiyo, ikiwa ni utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi huo uliokamilika takribani miaka miwili iliyopita. Mabasi hayo yamewasili kutoka nchini China yalikotengenezwa. Taarifa ambazo Mwananchi limedokezwa ni kwamba mabasi hayo yamewasili hivi karibuni bandarini hapo. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita…

Read More

Kisa Simba, maafande waitana kumjadili Yakoub

KIKAO kizito kinachotarajia kufanyika ndani ya wiki hii kati ya uongozi wa JKU Zanzibar na JKT Tanzania, kitahusu kinachoendelea kwa kipa Yakoub Suleiman kuhusishwa kutakiwa na Klabu ya Simba iliyopo jijini Ismailia, Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya. Mwanaspoti lina taarifa kutoka chanzo cha ndani kilichodai kwamba wachezaji askari wanapotoka Zanzibar kuja kucheza…

Read More

Mkenya kumchomoa mmoja Simba SC

BAADA ya Simba Queens kumrejesha mshambuliaji Mkenya Jentrix Shikangwa inaelezwa viongozi huenda wakavunja mkataba wa Magnifique Umutesiwase raia wa Rwanda. Hadi sasa Simba imesajili wachezaji sita wa kigeni ambao ni Zainah Nadende (Uganda), Ruth Aturo (Uganda), Zawadi Usanase (Rwanda), Cynthia Musungu (Kenya), Fasila Adhiambo (Kenya) na Magnifique Umutesiwase. Na wale waliokuwepo msimu uliopita ni Winifrida…

Read More

Uhondo wa CHAN upo Nairobi

UHONDO wa fainali za CHAN 2024 unaendelea leo kwa mechi mbili za Kundi A, mapema jioni DR Congo itavaana na Zambia kabla ya wenyeji Kenya kumalizana na Angola, mechi zote zikipigwa jijini Nairobi. Saa 10:00 jioni, DR Congo iliyoanza michuano hiyo kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji Kenya, itavaana na Zambia inayotupa karata…

Read More