
Mpina, Othman turufu ya ushindi ACT Wazalendo
Dar es Salaam. Mipango ya Chama cha ACT Wazalendo kuisaka dola imekamilika, baada ya chama hicho kuhitimisha mchakato wa kuwapata wagombea wa urais wa Tanzania na Zanzibar. Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina ndiye aliyetangazwa kuwa mgombea wa urais wa Tanzania huku Mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman naye akapitishwa kugombea nafasi hiyo…