Mkutano wa UN unatafuta kugeuza jiografia kuwa fursa – maswala ya ulimwengu

Na inazidi, mabadiliko ya hali ya hewa yanaongeza shida – kuharibiwa barabara, kuvuruga minyororo ya usambazaji, na kutishia miundombinu dhaifu tayari na mafuriko, ukame, na hali ya hewa kali. Lakini wakati majadiliano ya ulimwengu yanavyozidi kuongezeka, mkutano wa UN unaendelea nchini Turkmenistan unakusudia kugeuza maandishi – kusaidia kubadilisha Lldcs Kutoka kwa kufungwa hadi kuwekwa kwa…

Read More

‘Mabadiliko ya kweli’ yanahitajika kumaliza tishio la nyuklia – maswala ya ulimwengu

Wakati mji umejengwa tena, migogoro ya nyuklia inabaki kuwa tishio la ulimwengu, mwakilishi wa juu wa UN kwa maswala ya silaha Izumi Nakamitsu alisema katika Maelezo kwenye Ukumbusho wa Amani wa Hiroshima. Ilikuwa muundo pekee uliobaki umesimama karibu na hypocentre ya bomu, ambayo iliashiria matumizi ya kwanza ya silaha ya atomiki vitani. Walionusurika, wanafamilia na…

Read More

Uwekezaji wa Serikali ulivyopaisha mapato Rungwe

Mbeya. Kufuatia Wakulima Wilaya ya Rungwe Mkoa  wa Mbeya  kuchangamkia fursa ya matumizi ya   mbegu bora ya viazi mviringo maarufu  kama ‘Obama’, Halmashauri hiyo  imefanikiwa kukusanya mapato ya ndani ya zaidi ya  Sh1.5 bilioni kwa mwaka. Hatua hiyo imetajwa kufanikisha kuongeza  uzalishaji kutoka wastani wa tani  513,313, hadi  tani 614,278 kwa kipindi cha mwaka 2021/2025…

Read More

Mambo saba yaliyobeba Ilani ya ACT Wazalendo

Dar es Salaam. Uchumi wa watu, kuboresha huduma za jamii kwa wote na miundombinu bora kwa uchumi na ustawi wa wananchi ni miongoni mwa mambo yaliyomo kwenye Ilani ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyia Oktoba 29, 2025. Mengine ni kujenga taifa lenye haki na demokrasia ili kuondoa rushwa na kujenga Serikali yenye uwazi na…

Read More

Job Ndugai afariki dunia, atakumbukwa kwa haya

Dodoma. Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amefariki dunia jijini Dodoma, Taarifa ya Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, aliyoitoa leo Jumatano, Agosti 6, 2025, imesema: “Kwa masikitiko makubwa, naomba kutoa taarifa ya kifo cha kiongozi wetu, mwanasiasa mkongwe na Spika mstaafu wa Bunge, Job Ndugai, kilichotokea leo jijini Dodoma.” “Natoa pole…

Read More

Stars yaandika rekodi mpya CHAN, ikiizima Mauritania

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeandika rekodi mpya katika fainali za CHAN, baada ya kushinda mechi ya pili mfululizo ya Kundi B kwa kuifumua Mauritania kwa bao 1-0 na kufikisha pointi sita. Stars imepata ushindi huo usiku huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam na kuifanya ifikishe pointi hizo ambazo haijawahi…

Read More

Mwandishi Mwanaspoti atunukiwa cheti cha shukrani

MWANDISHI wa Habari za Michezo wa Mwanaspoti, Gazeti linalozalishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Nevumba Abubakar ametunukiwa tuzo na Chama cha Mpira wa Miguu kwa Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Arusha (ARAFA) kutokana na kutambua mchango wake katika uandishi wa habari za mchezo huo. Cheti hicho amekabidhiwa na Mwenyekiti wa ARAFA, Daud Mnongya mapema leo…

Read More

Fadlu: Tupo kazini, Simba ya moto inakuja

KOCHA wa Klabu ya Simba, Fadlu Davids, amefunguka kuhusu hali ya kikosi chake, programu ya maandalizi wakiwa kambini nchini Misri, changamoto za usajili na matumaini yake kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani na kimataifa. Kupitia mahojiano maalum na mtandao wa klabu hiyo upande wa Youtube, Fadlu ameeleza wanavyoijenga upya Simba, akitumia maandalizi hayo kama…

Read More