
TUZO YA TAIFA YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU YAZINDULIWA RASMI KWA MWAKA 2025/2026
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imezindua rasmi duru la nne la Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kwa mwaka 2025/2026, ambapo waandishi bunifu nchini wameombwa kuanza kuandaa na kuwasilisha miswada yao kwa ajili ya kushindanishwa. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf…