Hekima ya Sunna ya Aqiqa katika Uislam
Dar es Salaam. Aqiqa” ni mnyama anayechinjwa kwa ajili ya mtoto wa kiume au wa kike siku ya saba baada ya kuzaliwa, kwa ajili ya kumshukuru Allah Mtukufu. Ibada hii ni Sunna muhimu katika Uislamu ambapo familia inafurahi kwa kupata mtoto mpya. Ushahidi wa Sunna hii ni kauli ya Mtume wa Allah (Rehema na amani…