Kengele juu ya hoja ya Israeli kwenda kwa NGOs za Deregister – Maswala ya Ulimwenguni

Maendeleo-ambayo pia yanatumika kwa Benki ya Magharibi yaliyochukuliwa-ni matokeo ya hitaji la Israeli lililoletwa mnamo Machi 9 kuathiri mashirika ya kimataifa yasiyokuwa ya kiserikali (NGOs). “Isipokuwa hatua za haraka zichukuliwe … washirika wengi wa kimataifa wa NGO wanaweza kusajiliwa na 9 Septemba au mapema – Kuwalazimisha kuwaondoa wafanyikazi wote wa kimataifa na kuwazuia kutoa msaada…

Read More

SERIKALI YAENDELEA KUHAMASISHA KILIMO CHA KISASA KUPITIA MAONESHO YA NANENANE

Na Alex Sonna-DODMA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera, amesema maonesho ya wakulima- Nanenane yamekuwa kichocheo kikubwa cha mabadiliko ya kilimo nchini, akibainisha kuwa taasisi za umma na binafsi zimeonyesha jitihada kubwa katika kuboresha sekta hiyo kupitia teknolojia na ubunifu wa kisasa….

Read More

DED MKALAMA ATEMBELEA BANDA LA TARURA MAONESHO YA NANENANE

:::::::::: Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Asia Messos ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa ujenzi wa miundombinu ambayo imeweza kuwasaidia wakulima kusafirisha mazao yao kwa wakati. Ameyasema hayo mara baada ya kutembelea banda la TARURA kwenye Maonesho ya NaneNane Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Amesema kwamba…

Read More

TANZIA. SPIKA MSTAAFU JOB NDUGAI AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Hospitalini baada ya kuugua ghafla. Kwa mujibu wa taarifa ya Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson aliyoitoa imesema: “Kwa masikitiko makubwa, naomba kutoa taarifa ya kifo cha kiongozi wetu, mwanasiasa mkongwe na Spika…

Read More

JOB NDUGAI AFARIKI DUNIA GHAFLA

::::: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Hospitalini baada ya kuugua ghafla. Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa nafasi ambayo ameendelea kuitetea kwa kuchukua fomu…

Read More

Job Ndugai afariki dunia akipatiwa matibabu

Dar es Salaam. Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amefariki dunia leo Jumatano, Agosti 6, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika moja ya hospitali jijini Dodoma. Taarifa ya Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson aliyoitoa imesema: “Kwa masikitiko makubwa, naomba kutoa taarifa ya kifo cha kiongozi wetu, mwanasiasa mkongwe na Spika mstaafu wa…

Read More

Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji

Siha. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi  kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti madereva wazembe na vyombo vya moto vilivyo chini ya viwango ambavyo havistahili kuwa barabarani…

Read More