Rasmi Samatta kucheza Le Havre Ufaransa

Nyota wa soka wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Le Havre inayoshiriki Ligi Kuu Ufaransa (Ligue 1), hatua inayoweka historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza Mtanzania kucheza katika ligi hiyo ya juu  nchini humo. Le Havre wamemtambulisha mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32, wakithibitisha kuwa atavaa jezi namba 70…

Read More

DC MPOGOLO ATUNIKIWA TUZO – MICHUZI BLOG

 MTANDAO  wa Polisi Wanawake Tanzania  (TPF-Net) Wilaya ya Ilala umemtunuku tuzo maalumu Mkuu wa  wilaya hiyo Edward Mopogolo ya  kutambua mchango wake katika  kujenga jamii salama,jumuishi na yenye usawa wa kijinsia  DC Mpogolo amekabidhiwa tuzo hiyo  ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leo. Aliushukuru mtandao TPF Net  kwa kutambua mchango huo na kwamba tuzo hiyo…

Read More

Kwa Mkapa badobado | Mwanaspoti

LICHA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza viingilio ni bure kwenye mechi za leo za mashindano ya CHAN, lakini Uwanja wa Mkapa hauna shamrashamra. “Wanetu wa mzunguko watu 10,000 wa kwanza mnapata ofa ya tiketi ya kuingia uwanjani bila kulipa, unachotakiwa kufanya beba kadi yako ya N-Card suala la tiketi ya kuingia tuachie sisi …

Read More

ONGEZEKO LA WAKULIMA WA MKONGE DODOMA LAMKUNA DC NYANGASSA

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Mhe. Fatma Nyangassa amefurahishwa na hamasa inayofanywa na Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambayo imechangia upatikanaji wa wakulima zaidi ya 15 wenye takribani ekari 240 za zao la Mkonge ndani ya muda mfupi. Akizungumza wakati alipotembelea Banda la TSB kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo, Uvuvi na mifugo yanayoendelea katika…

Read More

Namungo FC yatua kwa Kocha Mkongomani

UONGOZI wa Namungo FC umefungua mazungumzo ya kumuajiri Mkongomani Guy Bukasa ili akiongoze kikosi hicho msimu ujao, ikiwa ni hatua nyingine baada ya mabosi kushindwa kufikia makubaliano ya kumrejesha Mzambia Hanour Janza. Janza aliyeifundisha timu ya Taifa ya Taifa Stars kisha baadaye kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa Ufundi wa ZESCO United ya kwao Zambia alikuwa akipigiwa…

Read More

Mambo 10 kuibeba ilani ya CCM, kuzalisha ajira milioni 8

Moshi. Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani 2025 umepangwa kufanyika Oktoba 29,2025 na tayari Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetoa ilani yake ya uchaguzi (2025-2030), na moja ya kipaumbele ni kilio cha ajira nchini. Lengo la CCM kupitia ilani hiyo, ni kuzalisha ajira zenye tija zisizopungua milioni nane katika sekta rasmi na isiyo rasmi na…

Read More

Yanga ni mwendo wa dozi

UNAJUA maisha yanayoendelea pale  Jangwani kwa sasa? Kama huelewa, basi taarifa ikufikie kwamba mambo ni moto kwelikweli huku utambulisho wa mastaa wapya ukiendelea. Nyuma ya utambulisho huo kuna sapraizi moja matata inapikwa na kinachoelezwa ni kwamba mastaa wa timu hiyo kwa sasa wanaifanyia…

Read More

TALIRI YAWATAKA WAKULIMA KUFUGA KWA TIJA

……………. Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzani (TALIRI) yatakiwakuhakikisha matokeo ya tafiti zinazofanywa na taasisi hiyo zinawafikia wafugaji ili waweze kufuga kwa tija. Hayo yamebainishwa na Balozi wa Tanzania nchini Ufarasa Ali Mwadini Leo 05 Agust 2025 alipotembelea banda la TALIRI katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayoendelea ndani ya viwanja vya Nzuguni jijini…

Read More

Shule 60 zajengwa kwa miaka mitano Zanzibar

Unguja. Miongoni mwa mambo yaliyokuwa yakirejesha nyuma elimu visiwani hapa ni uchakavu na uchache wa vyumba vya madarasa na mfumo wa elimu ngazi ya msingi na sekondari, uliofanya wanafunzi kuingia darasani kwa mikondo mitatu – asubuhi, mchana na jioni. Hata hivyo, hali hiyo ya kusoma kwa wastani wa saa tatu kwa siku, imepungua baada ya…

Read More