
Zaidi ya watu 10,000 wanufaika huduma bure afya
Na Mwandishi Wetu Jumla ya Tanzania wapatao 10,000, wameweza kupatiwa matibabu bure, katika Kambi ya siku tatu ya upimaji wa afya na macho yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mwisho mwa wiki hii Jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa ya mwisho mara baada ya mwisho wa Kambi hiyo Alhaji Mohammedraza Dewji, ambaye ni Mwenyekiti wa…