CHAMA CHA NLD CHAZINDUA ILANI YAKE YA UCHAGUZI 2025

…………… CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimezindua rasmi Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea katika mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyowasilishwa Leo Agosti 6 na uongozi wa chama hicho, Ilani hiyo inatajwa kama dira na…

Read More

Vurugu zaibuka mkutano wa CUF, wajumbe wazichapa

Dar es Salaam. Ndani mtiti nje mtiti. Ndivyo tunavyoweza kusema, baada ya ukumbi wa Shabani Mloo wa Chama cha Wananchi (CUF), uliotakiwa kutumiwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi wa chama hicho ili kupitisha ilani na kuteua majina ya wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kugeuka uwanja wa ngumi. Mtiti huo uliodumu kwa takribani…

Read More

EWURA YAHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI NANENANE ARUSHA

Na Mwandishi Wetu, Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika banda lao kwenye Maonyesho ya 31 ya Kilimo ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Themi Njiro jijini Arusha, ili kupata elimu kuhusu matumizi ya nishati safi na huduma nyingine muhimu zinazodhibitiwa na mamlaka hiyo. Wito…

Read More

10 wafanyiwa tiba ya teknolojia mpya JKCI

Dar es Salaam. Wagonjwa 10 wenye matatizo ya mapigo ya moyo yajulikanayo kitaalamu kama ‘heart rhythm disorders’ wamefanyiwa upasuaji wa moyo kupitia tundu dogo wakati wa kambi maalumu iliyofanyika kwa siku tano. Awali matibabu hayo yalitolewa kupitia upasuaji mkubwa wa kufungua kifua. Kambi hiyo maalumu imefanywa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)…

Read More

Mgogoro wa Gaza unakua kama UN inaonya watoto wanakufa kabla ya kufikia hospitali ‘ – maswala ya ulimwengu

Pamoja na asilimia 96 ya kaya kukosa maji safi, watoto wengi wenye utapiamlo hawaishi muda wa kutosha kupokea huduma ya hospitali. James Mzee, msemaji wa Mfuko wa Watoto wa UN (UNICEF), aliambiwa katika mkutano wa habari huko Geneva kwamba itakuwa kosa kudhani hali hiyo inaboresha. “Kuna maoni kupitia vyombo vya habari vya ulimwengu kwamba mambo…

Read More

Siku zangu 100 za kwanza Mkurugenzi Mtendaji wa MCL

Ilikuwa jioni ya Jumatatu, Aprili 28, 2025 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Ukumbi ulijaa viongozi wa juu wa Nation Media Group na Mwananchi Communications Limited (MCL). Ilikuwa ni siku ya kihistoria, matarajio na imani kubwa. Mbele yangu waliketi Mwenyekiti wa NMG Wilfred Kiboro; Mwenyekiti wa Bodi ya MCL David Nchimbi; wajumbe wote…

Read More

Wahi Kwa Mkapa uione Taifa Stars bure

CHAN 2024 inaendelea leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, grupu B likicheza mechi zake za pili. Mchezo wa mapema utapigwa kuanzia saa 11:00 Jioni ukizihusisha timu za Taifa za Burkina Faso na Jamhuri ya Afrika ya Kati huku mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Mauritania ukitarajiwa kuanza saa 2:00 usiku. Kupitia ukurasa rasmi wa Shirikisho…

Read More

Familia ya mtia nia aliyetoweka yaibua mapya

Tarime. Ikiwa leo ni siku ya tisa tangu mtiania wa udiwani katika kata ya Ganyange wilayani Tarime, Siza Mwita na rafiki yake, Anthony Gabriel kutoweka katika mazingira ya kutatanisha, familia imetuma ujumbe wa watu watatu kwenda makao makuu ya Jeshi la Polisi ili kujua mustakabali wa ndugu zao. Kwa upande wa kura za maoni zilizofanyika…

Read More