e-GA yapongezwa kwa kuimarisha ushirikiano Sekta ya kilimo

Na Mwandishi wetu Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mhe. Athumani Kilundumya, ameipongeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kwa kuimarisha ushirikiano na sekta ya kilimo katika kuleta mapinduzi ya kidijitali katika sekta hiyo. Mhe. Kilundumya ameyasema hayo wakati alipotembelea banda la e-GA katika maonesho ya Kilimo na Wafugaji “Nanenane” yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya…

Read More

Mtego wa ACT Wazalendo kuvuna wanaotemwa CCM

Dar es Salaam. Nyuma ya hatua ya kusogezwa mbele mara kwa mara kwa mchakato wa uchukuaji na urejeshaji fomu katika Chama cha ACT Wazalendo yamejificha mengi, wachambuzi wa siasa wanaeleza. Kwa mujibu wa wachambuzi hao, ni mbinu ya kawaida kwa vyama vya upinzani, kuweka mitego ya kuwanasa wanasiasa mashuhuri watakaotengwa na vyama vyao katika michakato…

Read More

January Makamba na mtego CCM, kuwa fursa ya wapinzani

Aprili 2019, aliyekuwa Mbunge wa Bumbuli (CCM), January Makamba, alifanya mahojiano na kituo cha Radio One, Dar es Salaam, na kueleza kuwa uongozi ni sawa na koti la kuazima, hivyo ukiwa kiongozi lazima uwe tayari kuishi bila koti pale mwenye nalo anapolichukua. Alilenga kuwakumbusha wenye kushika uongozi, hasa vijana, kutojinyanyua na kuishi kwa mikogo, maana…

Read More

Sababu tatu bei ya mafuta kushuka 

Dar es Salaam. Bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa mwezi wa nne mfululizo sababu zikitajwa ni kupungua kwa bei ya bidhaa hiyo katika soko la dunia, kushuka gharama za ubadilishaji wa fedha za kigeni na za uagizaji wake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura),…

Read More

Mkuu wa Mazingira ya UN – Maswala ya Ulimwenguni

“Ulimwengu unataka na kwa kweli unahitaji makubaliano ya kawaida ya plastiki kwa sababu shida hiyo inatoka mikononi“Inger Andersen alisema, Unep Mkurugenzi Mtendaji wa Programu ya Mazingira ya UN (Unep), shirika la UN linaloongoza mazungumzo. “Tunajua kuwa plastiki iko katika asili yetu, katika bahari zetu, na ndio, hata katika miili yetu… Ni nini hakika ni kwamba…

Read More