
Makipa Taifa Stars wana jambo Chan 2024
MAKIPA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hussein Masalanga na Yakubu Suleiman wamezungumzia wanavyojifunza vitu vingi kupitia Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN). Masalanga ambaye anatarajia kuongeza mkataba mpya na Singida Black Stars baada ya ule aliokuwa nao kumalizika msimu uliopita, alisema michuano ya CHAN anaitumia kama fursa ya…