Geay mzigoni Berlin akikutana na Sawe

NYOTA wa riadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay atakuwa mzigoni tena na mara hii akitarajiwa kutimka katika mbio za Berlin Marathon nchini Ujerumani, Septemba 21, mwaka huu. Katika mbio hizo mwanariadha huyo Mtanzania atakuwa sambamba na wanariadha kibao kutoka sehemu mbalimbali akiwamo Mkenya  Sabastian Sawe mwenye umri wa miaka 30 ambaye kwa sasa anashikilia…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Tofauti kati ya chama na kadi ya simu

Tofauti kubwa ya watoto wa sasa ni uelewa wao wa haraka sana. Tunaweza kusema ni kizazi, kwamba cha kale hakikuwa na mambo mengi kama ilivyo kwa kizazi kipya. Ingemchukua muda mrefu kwa mtoto wa zamani kujifunza jambo, lakini hivi sasa watoto hutumia muda mfupi sana. Naweza kutumia maneno mengi kulielezea hili, labda tu niseme dunia…

Read More

Wahamiaji wengi zaidi hufa baada ya mashua kushinikiza pwani ya Yemen – maswala ya ulimwengu

Pamoja na wahasiriwa wengi wanaoaminika kuwa raia wa Ethiopia, tukio hili la kusikitisha linaangazia “hitaji la haraka la kushughulikia hatari za uhamiaji zisizo za kawaida kando ya njia ya mashariki,” moja ya njia za uhamiaji zaidi na zenye nguvu zaidi ulimwenguni zinazotumiwa na watu kutoka Pembe la Afrika. IOM katika a taarifa Jumanne. “Kila maisha…

Read More

BEI YA PETROLI AGOSTI 2025 MSEREREKO

 ::::: Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Jumatano Agosti 6, 2025, zikionesha kupungua kwa bei ya petroli kwa shilingi 34 kwa mafuta yaliyopokelewa bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara mtawalia.  Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt…

Read More

UNHCR inahimiza Pakistan kuacha kurudi kwa wakimbizi wa Afghanistan – maswala ya ulimwengu

Alionyesha wasiwasi fulani juu ya shida ya wanawake na wasichana waliorudishwa Afghanistan, ambayo imekuwa chini ya utawala wa Taliban kwa miaka minne. Mnamo Julai 31, Pakistan ilithibitisha kwamba wakimbizi wa Afghanistan wataondolewa chini ya mpango wa ‘Wageni wa Kurudisha Wageni’. UNHCR amepokea ripoti za kukamatwa na kuwekwa kizuizini kwa Waafghanistan kote nchini, pamoja na wamiliki…

Read More

Bingwa mtetezi aanza vyema CHAN 2024

BINGWA mtetezi wa michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za ndani (CHAN), Senegal imeanza vizuri kampeni za kutetea taji hilo baada ya kuifunga Nigeria ‘Super Eagles’, bao 1-0, katika pambano nzuri na la kuvutia baina ya miamba hiyo. Pambano hilo la kundi D, lililochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, lilishuhudia…

Read More