
TBS YATOA ELIMU KWA UMMA KUHUSU UBORA WA BIDHAA KATIKA MAONESHO YA NANENANE
MENEJA wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati, Mwalimu Hamis Sudi Mwamasala,akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la TBS wakati wa Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima (Nane Nane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma.Na Alex Sonna, Dodoma Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema litaendelea kulinda afya za Watanzania kupitia udhibiti wa…