
Ngatsono ajivunia pointi moja ya CHAN
Kocha Mkuu wa Congo, Barthelemy Ngatsono amesema licha ya timu hiyo kuanza na sare katika michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), lakini amefurahishwa na viwango vilivyoonyeshwa na nyota wa kikosi hicho. Kauli ya Ngatsono imejiri baada ya timu hiyo kuanza michuano ya CHAN kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Sudan…