BANK OF AFRICA TANZANIA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MFALME WA MOROCCO

BANK of Africa Tanzania yashiriki katika maadhimisho ya miaka 26 ya Mfalme Mohammed VI wa Ufalme wa Morocco. Tukio hilo la lilifanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha viongozi wa kidiplomasia, mabalozi kutoka nchini mbalimbali wanaowakilisha nchini zao hapa Tanzania, wafanyabiashara, na wawakilishi mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo muhimu. Bank of Africa Tanzania ni kampuni…

Read More

SABA MBALONI KWA KUINGIZA ZAIDI YA TANI 11 ZA DAWA ZA KULEVYA

Mkazi wa Masaki na mfanyabiashara Riziki Shaweji(40) na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakidaiwa kuingiza sampuli za dawa kulevya aina ya Mitragyna Speciosa zenye uzito wa kilo 11.596. Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na wakili wa Serikali, Eric Davies, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga. Mbali na Shaweji, wengine ni…

Read More

TARI yatajwa suala la Usalama wa chakula nchini

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imetajwa kuwa na mchango kwenye suala la Usalama wa chakula nchini kwa kufanya Utafiti unaotoa matokeo yenye kuongeza tija kwa Wakulima katika zama zinazoshuhudiwa uwepo mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayesimamia Umwagiliaji na zana za Kilimo Mhandisi Athumani Kilundumya na…

Read More

Sudan, Congo zaanza na sare CHAN

TIMU za taifa za Sudan ‘Falcons of Jediane’ na Congo zimeshindwa kutambiana katika mechi ya kwanza ya kundi D ya michuano ya Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1.  Katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar, Sudan ilikuwa ya kwanza kupata bao…

Read More

Kocha Uganda akiri presha kuwagharimu

KOCHA wa timu ya taifa la Uganda ‘The Cranes’, Morley Byekwaso, amekiri kuwa kikosi chake kilishindwa kudhibiti presha, hali iliyowagharimu katika kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Algeria kwenye mechi ya kwanza wa Kundi C wa michuano ya CHAN 2024 iliyopigwa jijini Kampala. Katika mechi hiyo iliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Nelson Mandela, wenyeji…

Read More