Marafiki, Wanajenga, Wanabomoa Uhusiano, Jifunze!

DUNIANI tunaishi kwa kutegemeana. Kwenye maisha kila mtu anamhitaji mwenzake kwa namna moja au nyingine. Anahitaji msaada wa mawazo, ushauri na hata fedha hivyo mtu huwezi kuepuka marafiki. Marafiki ndio ambao wanaweza kukupa msaada pale unapokuwa na uhitaji. Marafiki ndio wanaoweza kukupa faraja pale unapopitia kwenye kipindi kigumu. Ndio wanaoweza kukusaidia kwa hali na mali. Ndio…

Read More

Shinikiza ya Afrika kwa maendeleo ya uhuru wa VVU na ununuzi wa kwanza wa dawa zilizotengenezwa ndani – maswala ya ulimwengu

Alama za maendeleo Hatua muhimu kwa mkoa ambao unachukua karibu asilimia 65 ya mzigo wa VVU ya ulimwengu na kwa muda mrefu umetegemea uagizaji ya kuokoa maisha ya dawa za kukinga na vifaa vya upimaji. Lakini hiyo inaweza kuwa inaanza kubadilika. Virusi vya kinga ya binadamu (VVU) Inadhoofisha mfumo wa kinga ya mwili, kupunguza uwezo…

Read More

WANAJAMII MTWARA WAAPA KUPAMBANA NA NDOA ZA UTOTONI

Kivutio cha Mtwara Na Mwandishi wetu, Mtwara Wanajamii wilayani Mtwara vijijini wameahidi kuendelea na harakati za kupambana na ndoa za utotoni ili kumkomboa mtoto wa kike na kumuwezesha kwenda shule. Wito huo umetolewa kijijini Nkunwa, wilayani Mtwara vijijini, leo wakati wakitoa maazimio ya kufunga mdahalo wa kijamii ulioandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) pamoja…

Read More

Benki ya Exim Tanzania Yazindua Elite Banking

Benki ya Exim Tanzania Yazindua Elite Banking Dar es Salaam: Katika hatua ya kihistoria ya kuendeleza ahadi yake ya kuwapa wateja wake huduma bora, Exim Bank imebadilisha maana ya huduma za kibenki za kipekee kwa kuzindua rasmi huduma yake ya ‘Elite Banking’. Uzinduzi huu ulifanyika katika hafla iliyohudhuriwa na watu maalum katika Hoteli ya Serena,…

Read More