
Madagascar v Mauritania culuhu ya kwanza CHAN
TIMU za Madagascar na Mauritania zilitoka sare ya bila kufungana (0-0) katika mechi ya Kundi B ya Michuano ya CHAN PAMOJA 2024 iliyopigwa Jumapili usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kundi hili lenye timu tano linaongozwa na wenyeji Tanzania wenye pointi tatu baada ya kuichapa Burkina Faso kwenye mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo ambayo…