
ITALIA YAAHIDI KUIUNGA MKONO TANZANIA KATIKA KUDHIBITI MAJANGA NA KUPUNGUZA ATHARI ZAKE
Na Mwandishi Wetu – Dodoma Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mheshimiwa Giuseppe Sean Coppola, tarehe 4 Agosti 2025, amefanya ziara katika Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Majanga na Tahadhari ya Mapema kilichopo Mtumba, jijini Dodoma, kwa lengo la kujionea utendaji wa kituo hicho na kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Italia katika sekta ya…