Hawa hapa matajiri 10 Tanzania, shughuli wanazofanya

Dar es Salaam. Mtandao wa Billionaires.Africa umetangaza orodha ya watu 10 matajiri zaidi nchini Tanzania, ukionyesha mchango wao katika uchumi wa Taifa kupitia uwekezaji katika sekta mbalimbali kama viwanda, mafuta, mawasiliano, na fedha. Kinara wa orodha hiyo ni Mohammed Dewji, bilionea pekee wa Afrika Mashariki mwenye utajiri wa Dola bilioni 2.2 (Sh5.5 trilioni) kupitia kampuni…

Read More

Profesa Mosha amtaja binadamu hatari sana

Arusha. Tafakari yangu ya leo itajikita katika mawazo ya watu wawili ambao ni Muft Ismael Menk na mwanamama Louise de Marillac. Muft Menk amesema: ‘’Moyo wangu una thamani hivyo kwamba hauwezi kuipa nafasi chuki na wivu ndani yake. Na mwanamama Louise de Marillac ameandika: ‘’Kama moyo wako haukujaa joto la upendo, wengine kando yako watakufa…

Read More

Mwandae hivi mwanao kupenda sayansi

Dar es Salaam. Sayansi ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya jamii yoyote duniani. Kuwa na kizazi kinachothamini na kupenda sayansi, ni msingi wa maendeleo endelevu katika sekta mbalimbali kama vile afya, kilimo, teknolojia, na mazingira. Kwa kuwa watoto ndio msingi wa jamii ya kesho, ni muhimu kuwasaidia kupenda sayansi wakiwa katika hatua za…

Read More

Mcameroon ajilengesha Simba | Mwanaspoti

PALE Simba kuna staa mmoja kutoka Cameroon ambaye amesalia kwenye viunga vya Msimbazi, Leonel Ateba baada ya kuondoka kwa nyota mwingine kikosini hapo, Che Fondoh Malone aliyetimkia USM Alger ya Morocco katika dirisha la usajili linaloendelea. Hata hivyo, kinachoelezwa ni kwamba bado chama…

Read More

Masaibu ya wasomao vyuo na umri mdogo

Dar es Salaam. Wakati idadi zaidi ya vijana wakjiunga na elimu ya juu, wito umetolewa kwa Serikali kupitia mamlaka zake husika kuweka mkazo zaidi katika maandalizi ya kisaikolojia na kitaaluma,  kwa wanafunzi wanaotoka moja kwa moja kidato cha nne kwenda vyuo vya elimu ya juu. Wataalamu wa elimu, saikolojia na malezi wanasema vijana hawa wengi…

Read More

CHAN yafungua fursa ya jezi za Stars Zanzibar 

WAFANYABIASHARA wa jezi mjini Unguja wameelezea fursa zilizopo hususan katika Michuano ya Mataifa Ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za ndani (CHAN), zinazoendelea kwa wenyeji Tanzania ikishirikiana na Kenya na Uganda. Wakizungumza na Mwananchi Digital, wafanyabiashara mbalimbali hasa wa jezi wameeleza michuano ya CHAN inayoendelea  jinsi itakavyowanufaisha kutokana na mwitikio wa uhitaji hasa wa timu…

Read More