
Senegal, Nigeria kazi ipo Zenji CHAN 2024
MICHUANO ya fainali za Kombe la Ubingwa kwa Nchi za Afrika (CHAN) 2024 inaendelea tena leo kwa mechi mbili za Kundi D zitakazopigwa visiwani Zanzibar, lakini macho na masikio yanaelekezwa katika pambano la watetezi, Senegal ‘Simba wa Teranga’ dhidi ya Super Eagles ya Nigeria. Pambano hilo litakalopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex kuanzia saa…