Kama malori ya misaada yanaingia, video za mateka wa Israeli na shambulio kwa wafanyikazi nyekundu wa crescent husababisha hasira – maswala ya ulimwengu

Wakati huo huo, Alhamisi na tena Jumamosi, wanamgambo wa Kiislam wa Palestina na wanamgambo wa Hamas walichapisha video za kutatanisha za mateka wawili wa Israeli, na kusababisha hasira ya ulimwenguni na hukumu kutoka kwa viongozi wa UN, pamoja na Katibu Mkuu António Guterres Jumatatu. Waliopigwa picha, Rom Braslavsk na Evyatar David, ni wawili kati ya…

Read More

Mgogoro wa ufadhili wa wakimbizi wa Uganda, uhuru wa kitaaluma uliopimwa huko Serbia, uvumilivu wa vijijini nchini Afghanistan – maswala ya ulimwengu

Uganda ina sera inayoendelea ya wakimbizi ambayo inawezesha wakimbizi kufanya kazi na kupata huduma za umma. Hii pamoja na ukaribu wake wa kijiografia na misiba imeifanya kuwa nchi kubwa zaidi ya mwenyeji wa wakimbizi. “Ufadhili wa dharura unamalizika mnamo Septemba. Watoto zaidi watakufa kwa utapiamlo, wasichana zaidi wataathiriwa na unyanyasaji wa kijinsia, na familia zitaachwa…

Read More

Majaliwa atembelea banda la Yas Nanenane

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea banda la kampuni ya Yas katika Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea kwenye viwanja vya Nzuguni jijini hapa. Akiwa katika banda hilo leo Agosti 4, 2025, Majaliwa alipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati, Charles Gasper kuhusu namna kampuni hiyo inavyowawezesha wakulima kupitia…

Read More

Mchakato wataka Urais CUF moto

Dar es Salaam. Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) imekamilisha mchakato wa kuwahoji watiania wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huku baadhi ya waliopitia mchujo huo wakieleza kuwa maswali walioulizwa yalikuwa magumu na yenye mitego. Miongoni mwa waliotia nia ya kuwania nafasi ya urais, Kiwale…

Read More

Hukumu rufaa Kocha Katabazi dhidi ya TFF yasogezwa mbele

Hukumu ya rufaa ya Kocha Listoni Katabazi dhidi ya  Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), kupitia bodi yake ya wadhamini, sasa kutolewa Septemba 26, 2025. Hukumu hiyo ilipangwa kutolewa leo Agosti 4,2025 na Jaji Butamo Phillip aliyesikiliza rufaa hiyo. Hata hivyo imekwama kwa kuwa Jaji Phillip aliyepaswa kuisoma hukumu hiyo hakuwepo.Badala yake imeahirishwa na…

Read More

The Cranes yaanza kwa fedheha CHAN 2024

TIMU ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ imeanza vibaya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Algeria katika pambano la kwanza la ufunguzi. Katika mechi hiyo ya kundi C iliyopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini Kampala, Algeria ilianza kupata bao la kwanza dakika ya 36…

Read More

The Cranes yaanza kwa fedheha CHAN

TIMU ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ imeanza vibaya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Algeria katika pambano la kwanza la ufunguzi. Katika mechi hiyo ya kundi C iliyopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini Kampala, Algeria ilianza kupata bao la kwanza dakika ya 36…

Read More