
TANESCO Ruvuma Yaendelea Kutoa Elimu ya Nishati Safi Katika Maonyesho ya Nanenane Mbinga
Mbinga – Ruvuma. Katika kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi, TANESCO Mkoa wa Ruvuma imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya umeme kama nishati salama na rafiki wa mazingira kwa ajili ya kupikia. Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Msaidizi kutoka TANESCO Mkoa wa Ruvuma…