
DARAJA LA J.P MAGUFULI KUFUNGWA KAMERA ZA USALAMA.
:::::::: Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi, mkoani Mwanza, ili kuhakikisha daraja hilo linalindwa ipasavyo na kudumu kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa. Hayo yameelezwa na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Ambrose Pascal, ambapo amesema…