
Tanzania yaadhimisha Siku ya Mikoko Duniani kwa kupanda miti 5,000 Kinondoni
Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Tanzania leo imeadhimisha kwa mara ya kwanza kitaifa Siku ya Kimataifa ya Mikoko Duniani, kwa kupanda jumla ya miti 5,000 ya mikoko katika eneo la Kilongawima, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam – ikiwa ni hatua muhimu katika kulinda mifumo ikolojia ya ardhi oevu na kukabiliana na mabadiliko…