
Wajumbe CCM wazuiwa kuingia ukumbi kisa sare
Unguja. Baadhi ya wajumbe wa kupiga kura za maoni Jimbo la Mfenesini wamezuiwa kuingia ndani ya ukumbi kwa kile kilichoelezwa hawakuvaa sare za chama kama walivyoelekezwa Wajumbe wa jimbo hilo wameanza kuingia ndani saa 3:00 asubuhi kwa ajili ya matayarisho ya upigaji kura za maoni kwa wabunge, wawakilishi na madiwani. Jimbo hilo lenye wadi tisa…